UMISETA si mashindano ya michezo pekee bali ni chombo muhimu cha kukuza vipaji, nidhamu, afya, umoja na maendeleo ya wanafunzi Na Mwandishi wetu Kambi ya mashindano ya UMISETA Wilaya ya Uvinza imehitimishwa rasmi huku washiriki wakielekea Wilayani Kasulu kushiriki mashindano ya ngazi ya mkoa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kupata timu zitakazoiwakilisha Mkoa katika mashindano ya…