Mikopo hiyo inayotolewa na Benki ya CRDB ambayo inatokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ni moja ya njia muhimu za kuwawezesha wananchi wenye kipato cha kujikwamua kiuchumi na mikopo hii imeanzishwa kwa lengo la kuwapa wanufaika mtaji wa kuanzisha au kuendeleza shughuli mbalimbali za uzalishaji mali na hivyo kuboresha maisha yao na ya familia zao Na Lucas Hoha Wanufaika wa mikopo…