Hati safi ni maoni yanayotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali baada ya kufanya ukaguzi wa taarifa za fedha za halmashauri na kubaini kuwa zimeandaliwa kwa usahihi na kwa kuzingatia sheria, kanuni, na viwango vya uhasibu vinavyotumika na kupata hati safi ni ishara ya usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na uwajibikaji kwa wananchi Na Hagai Ruyagila Mkuu wa mkoa wa Kigoma…