Afya ya mama na mtoto ni jambo muhimu katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla miongoni mwa changamoto zinazoweza kuhatarisha maisha ya wajawazito na watoto ni kuchelewa kupata huduma za afya, hasa pale ambapo mgonjwa anahitaji usafiri wa haraka kwenda kituo cha afya Na Emmanuel Kamangu Huduma ya usafiri wa dharula kwa mama mjamzito na mama aliye jifungua yaani M-mama katika…