September 10, 2026

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2026 Wazo Mwang’onda amesema dhamira ya serikali ni kuhakikisha inaboresha miundombinu ya kutolea huduma muhimu kwa wananchi Na Hagai Ruyagila Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2026 umeanza mbio zake katika Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ukitokea Wilayani Kibondo ambapo miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo elimu, afya, barabara na maji inatarajiwa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *