September 9, 2026

Mwenge wa uhuru umewasili Mkoani Kigoma ambapo umepokelewa katika Halmashauri ya Wilaya Kakonko na unatarajia kutembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Mwandishi wetu Mwenge wa Uhuru umepokelewa na kuanzia mbio zake Mkoa wa Kigoma katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, ambapo jumla ya miradi yenye thamani ya Shilingi Bil.73.2 itazinduliwa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *