Mwenge wa Uhuru ni miongoni mwa alama muhimu za kitaifa, ambazo hutumika kuhamasisha wananchi kuhusu masuala ya maendeleo, amani, umoja, uzalendo na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Isaac Mwakisu, ameongoza kikao cha kamati maalum cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru…