Matumizi foliki na fefo kwa kufuata maelekezo ya mtaalamu wa afya husaidia kulinda afya ya mama na mtoto na kupunguza baadhi ya hatari wakati wa ujauzito. Na Emmanuel Kamangu Wanawake wajawazito katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu wametakiwa kutumia vizuri dawa aina ya fefo pamoja na foliki ambazo husaidia kukua vizuri kwa viungo vya mtoto aliyeko tumbon.