September 1, 2026

Usafi wa mazingira ni jambo muhimu sana katika maisha ya kila siku ya binadamu. Mazingira safi ni yale ambayo hayana uchafu kama taka, maji machafu, vyakula vilivyooza na vitu vingine vinavyoweza kusababisha madhara kwa afya ya binadamu. Kila mtu ana wajibu wa kuhakikisha mazingira yake yanakuwa safi na salama Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *