September 2, 2026

Miundombinu ya barabara ni sehemu muhimu katika maendeleo ya nchi kwani hutumika kusafirisha watu, bidhaa na huduma kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Na Hagai Ruyagila Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, wameiomba serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), kundelea kuboresha barabara za pembezoni mwa mji wa Kasulu ambazo zimekuwa na changamoto…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *