Katika kuadhimisha miaka 20 ya Polisi jamii shughuli mbalimbali zimefanyika ikiwemo usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali huku Jeshi hilo likitoa wito kwa wananchi kushirikiana katika kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu ameongoza zoezi la usafi wa Mazingira katika Halmashauri hiyo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kigoma…