Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yana mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii kupitia utoaji wa huduma za afya, elimu, mazingira, kilimo, haki za binadamu na sekta nyingine nyingi hata hivyo, mashirika mengi yamekuwa yakitegemea fedha kutoka kwa wafadhili wa nje, hali ambayo wakati mwingine huathiri utekelezaji wa shughuli zake Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya Kasulu Mkoani…