Mpango wa mikopo ya asilimia 10 umeendelea kuwa chachu ya maendeleo ya vikundi kwa kuongeza mtaji, kuimarisha shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na kipato cha wanachama, pamoja na kuboresha ustawi wa familia na jamii kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imetenga zaidi ya shilingi milioni 200 kwa robo ya kwanza ya Mwaka wa fedha 2026/2027…