Utekelezaji wa mradi huo unahusisha ujenzi wa vyumba nane vya madarasa, ofisi, jengo la utawala, maktaba, TEHAMA, maabara na matundu 13 ya vyoo Na Lucas Hoha Wanafunzi katika Kijiji cha Msimba, Kata ya Mugonya, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoa wa Kigoma ambao walikuwa wakikabiliwa na changamoto ya umbali mrefu wa kwenda shule ya sekondari Luiche, sasa wameondokana na adha hiyo baada…