June 9, 2026

Viongozi wa dini wana nafasi kubwa katika kuiongoza jamii kiroho, kimaadili na kijamii. Kupitia mafundisho yao, viongozi hawa hutoa mwongozo unaowasaidia waumini kuishi kwa amani, upendo na mshikamano. Hivyo, ni muhimu viongozi wa dini kumtegemea Mungu na kuwa dira sahihi ya imani badala ya kuwa chanzo cha migogoro miongoni mwa waumini Na Orida Sayon Viongozi wa Kiroho (Dini ) Mkoani…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *