Katika kuhakikisha wanawake wanajikwamua kiuchumi kutokana na fursa zilizopo kwenye maeneo yao, Serikali imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vikundi ili viweze kuendelea kukua na kuwanufaisha wanawake Na Hagai Riyagila Wanawake wajasiriamali wa kikundi cha Community Microfinance kinachojishughulisha na ufugaji wa kuku katika Kata ya Muganza, Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani…