Mkuu wa Wilaya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amesema Mkoa wa Kigoma una fursa nyingi za kiuchumi ambazo zinaweza kutumiwa na kuwanufaisha wananchi Na Sadick Kibwana Waumini wa dini ya Kikristo Mkoani Kigoma wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazowazunguka ili kukuza vipato vyao na kujiletea maendeleo. Rai hiyo imetolewa wakati wa kongamano la fursa za kiuchumi kwa vijana…