Ardhi ni rasilimali muhimu katika maisha ya binadamu kwa sababu hutumika kwa makazi, kilimo, biashara, uwekezaji pamoja na ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, hata hivyo, pamoja na umuhimu wake, migogoro ya ardhi imeendelea kuwa changamoto katika jamii nyingi ambayo hujitokeza kati ya wananchi wenyewe, familia, majirani, wawekezaji, wafugaji na wakulima, pamoja na wananchi na mamlaka…