October 1, 2026
Wananchi watakiwa kusafisha na kuzibua mitaro Kigoma

Usafi wa mazingira katika maeneo ya makazi ya watu, biashara na huduma za jamii ni muhimu katika kuhakikisha mazingira yanakuwa salama. Na Lucas Hoha Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma imefanya Usafi wa Mazingira kwa kuzibua mitaro katika Soko la Gungu Manispaa ya Kigoma Ujiji lengo likiwa ni kukabiliana na Mvua za El nino zinazotarajia kuanza kunyesha ili…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *