Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wameendelea kuweka mikakati na elimu kwa wananchi juu ya namna ya kujikinga na ebola Na Mwandishi wetu Mradi wa Ebola Preparedness & Protection Project umetambulishwa rasmi katika Wilaya ya Uvinza, Mkoa wa Kigoma, ukiwa na lengo la kuimarisha utayari na hatua za kinga dhidi ya ugonjwa wa Ebola.