October 2, 2026

Wakala wa vipomo WMA Mkoani Kigoma umesema utawachukulia sheria mawakala ambao wamekuwa wakijaza mitungi ya gesi pungufu huku wakiwataka wanannchi kupima mitungi hiyo kabla ya kujaza Na Josephine Kiravu Wananchi mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanapima ujazo wa mitungi ya gesi wanapofika kwa mawakala kwa ajili ya kubadilisha mitungi hiyo, hatua inayolenga kuondoa changamoto na…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *