Ukaguzi wa miradi hiyo ni hatua ya kujiridhisha na kuhakikisha usimamizi mzuri katika utekelezaji wa miradi hiyo Na Mwandishi wetu Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya nne ya mwaka wa fedha. Akiongoza ziara hiyo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Mh.