Mazingira wezeshi na miundombinu inayoendelea kuwekwa na serikali imesaidia Mkoa wa Kigoma kuendelea kuwa kitovu cha biashara kwa nchi zinazozunguka ziwa Tanganyika Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ametoa wito kwa wafanyabiashara kutoka nchi jirani za Congo DR na Burundi kuwekeza mkoani hapa kutokana na uwepo fursa nyingi za uwekezaji katika Sekta za viwanda…