Serikali imeendelea kuhamasisha jamii kuhakikisha inachukua hatua dhidi ya madhara yanayoweza kujitokeza wakati wa mvua za El nino Na Hagai Ruyagila Wananchi wa kata ya Msambala, Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya mvua za El Nino zinazotarajiwa kunyesha kuanzia mwezi oktoba mwaka huu. Wito huo umetolewa na Afisa Kilimo wa kata ya Msambala…