Uchumi rejeshi kutoka kwenye taka ni mfumo wa kuzifanya taka ambazo zingeonekana hazina matumizi kuwa rasilimali yenye thamani ya kiuchumi kupitia ukusanyaji, uchakataji, urejelezaji na matumizi mapya Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mh. Dinah Mathamani, amewahimiza wananchi wa Kata ya Kazuramimba na kata nyingine zinazotekeleza Mradi wa VOICES katika Halmashauri ya Wilaya ya…