Shule za bweni ni taasisi ambazo wanafunzi huishi na kusoma katika mazingira ya shule kwa muda wote wa masomo kwa sababu hiyo, umeme ni huduma muhimu sana katika maisha yao ya kila siku Na Hagai Ruyagila Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma limezitaka shule za sekondari zenye wanafunzi wanaoishi bweni kuboresha mifumo ya umeme pamoja na kuweka vifaa vya kuzimia…