August 13, 2026

Wadau wa maendeleo Manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kuwa vijana hawana budi kujikita kwenye shughuli za uzalishaji mali zitakazowasaidia kujipatia kipato. Na Sadik Kibwana Vijana katikaa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mkoani Kigoma, wamehimizwa kujitambua, kulinda amani ya nchi na kuwa mstari wa mbele katika shughuli za uzalishaji mali ili kujenga maisha bora na kuinua uchumi wao.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *