Halmashauri ya Wilaya Kibondo Mkoani Kigoma imepongezwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi Na Mwandishi wetu Wajumbe wa jumuiya ya tawala za Mitaa Tanzania, ALAT Mkoa wa Kigoma wametakiwa kuendelea kishirikiana katika kufikia malengo ya kukuza maendeleo na uchumi wa halmashari za mkoa wa Kigoma. Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Kigoma Bw.