Usafi wa mazingira ni jambo muhimu sana katika maisha ya kila siku na kila mtu ana wajibu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama na hii ni muhimu zaidi katika maeneo ya sokoni kwa sababu sokoni hukusanyika watu wengi na huuzwa vyakula na bidhaa mbalimbali ambazo zinazalisha uchafu Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma Dkt. Rashid Chuachua amewahimiza wananchi…