August 18, 2026

Vijana wameeleza kuwa baadhi yao wamekuwa wakikwepa kazi zinazohitaji juhudi kubwa na badala yake kutafuta kazi rahisi. Na Emmanuel Kamangu Vijana katika Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kuachana na tabia ya utegemezi na kujikita katika kufanya kazi ili kujikwamua kiuchumi na kujenga maisha yao ya baadaye. Wito huo umetolewa na Afisa Maendeleo ya Jamii wa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *