June 16, 2026

Serikali imeendelea kuwezesha vikundi mbalimbali vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kupitia mikopo inayotolewa na Halmashauri kupitia mapato ya ndani ili viweze kufanya shughuli za uzalishaji mali. Na Sadick Kibwana Serikali Mkoani Kigoma imetoa zaidi ya shilingi bilioni mbili nukta moja kwa vikundi 340 vya uzalishaji mali mkoani Kigoma kwa lengo la kuwainua wananchi kiuchumi.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *