Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa yakiathiri sehemu kubwa ya ustawi wa watu wenye ulemavu, wanawake na vijana katika shughuli mbalinbali za uzalishaji mali Na Mwandishi wetu Shirika la Umoja wa Mataifa la Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN Women) linatarajia kuwasaidia takriban wanawake na vijana 3500 walioathirika na mabadiliko ya tabia nchi mkoani Kigoma.