WhatsApp Image 2024-03-27 at 15.30.57
Zaidi ya Wakimbizi Laki Moja Kutoka Nchini Burundi wanaohifadhiwa Katika Kambi za Wakimbizi NDUTA na NYARUGUSU Mkoani Kigoma, Wamepewa miezi tisa kuanzia sasa wote wawe wamerudi nchini Burundi kwa hiyari, Kabla ya kufutia hadhi ya ukimbizi ili kuungana na ndugu zao kuijenga Burundi Baada ya amani kuimarika.
 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *