October 19, 2026

Serikali imeendelea kuhamasisha matumizi ya mkaa mbadala lengo likiwa ni kuhakikisha wananchi wanaepukana na uharibifu wa mazingira Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yusufu Masauni, ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Kakonko kwa jitihada wanazofanya katika kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi. Pongezi hizo amezitoa katika Ukumbi mpya wa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *