October 19, 2026

Benki ya Kilimo TADB imewataka wakulima Mkoani Kigoma kuzingatia kilimo bora ili kuhakikisha wanapata mazao yenye ushindani katika soko la ndani na nje Na Sadick Kibwana Wakulima Mkoani Kigoma wameaswa kuwa na mtazamo wa kuendesha kilimo cha kibiashara kwa kuzingatia mbinu bora na uchaguzi sahihi wa mazao yenye soko la uhakika. Rai hiyo imetolewa na Afisa Maendeleo ya Biashara…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *