October 19, 2026

Mchezo wa fainali kati ya Mwandiga United dhidi ya Majengo sokoni umeshindwa kufanyika baada ya kubainika kukiukwa kwa baadhi ya kanuni za uendeshaji wa mashindano hayo Na Sadick Kibwana Fainali ya ligi ya Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Kiza Hussein Mayeye – Mayeye CUP 2026, imeshindwa kutamatika baada ya kutokea sintofahamu ya kikanuni katika mchezo huo uliotakiwa kufanyika katika…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *