Matumizi ya dawa bandia yametajwa kuwa hatari zaidi kwa afya ya binadamu na hivyo mamlaka husika zimetawakiwa kuwachukulia hatua za kisheria wanaendelea kuuza dawa hizo bandia Na Josephine Kiravu Wananchi Mkoani Kigoma wameitaka Serikali kuwapatia elimu ya kutambua dawa bandia na zisizofaa kwa matumizi ya wanadamu na wanyama zinazouzwa kwenye maduka ya dawa muhimu za binadamu na mifugo…