Ujenzi wa shule ni muhimu kwa maendeleo ya watoto Na Hagai Ruyagila Zaidi ya shilingi milioni 100 zinahitajika kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi wa Kata ya Mwilamvya, Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma, waliopisha maeneo yao kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya msingi. Akizungumza kuhusu suala hilo, Kaimu Afisa Mtendaji wa Kata ya Mwilamvya, Iddy Emmanuel…