October 22, 2026

Lugha ni nyenzo muhimu katika mawasiliano lakini pia ni nguvu ya kujenga au kubomoa kwa watu wenye ulemavu pale yanapotumika maneno yanatumika kuwaita, kuwaeleza au kuzungumza nao kwani maneno hayo yanaweza kuwaonyesha kama watu wasioweza kufanya chochote na kupelekea kukosa haki na fursa muhimu kwao Na Tryphone Odace /

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *