
Wafanyabiashara Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, wamelalamikia mpangilio mbovu wa masoko ya kufanyia biashara, hali inayozorotesha uchumi na kushidwa kulipa Kodi baada ya Kuvunjwa soko la Mwanga na kuanzishwa masoko pasipokuwa na mkakati maalumu wa kuyaendeleza.
Kadislaus Ezekiel na Taarifa zaidi,