June 14, 2026

Licha ya elimu ya kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kuendelea kutolewa bado ugonjwa wa Ebola haujaripotiwa kuwepo nchini Tanzania Na Emmanuel Kamangu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Damas Kayera ameendelea kutoa rai kwa wananchi mkoani Kigoma kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *