Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Muhamed Kawaida amewapongeza wananchi wa kata ya Biharu Wilaya ya Buhigwe kuanzisha ujenzi wa sekondari kutokana na changamoto kadhaa za kiusalama na umbali kwa wanafunzi waliokuwa wakilazimika kufuata huduma ya elimu kata za jirani.
Ripoti ya Jacob Ruvilo