Usafi wa mazingira ni muhimu kwa afya ya jamii kwani husaidia kupunguza magonjwa ya mlipuko Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amezindua mkakati wa Usafi wa Mazingira kwa Mkoa wa Kigoma unaolenga kuweka mwelekeo wa kudumisha Mazingira safi na Salama pamoja na afya nora kwa wakazi mkoani huu. Mkakati huo unatarajiwa kuanza kutekelezwa Juni…