Mlima Sunzu umekabidhiwa kwa Wakala wa Misitu Tanzania TFS huku baadhi ya wananchi wakieleza kutoridhishwa na uamzi huo Na Sadick Kibwana Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma imekabidhi umiliki wa Mlima Sunzu kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kwa ajili ya uendelezaji wa shughuli mbalimbali na usimamizi kwa mujibu wa sheria. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara…