Teknolojia imeendelea kukua kwa kasi duniani na kuleta mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali, ikiwemo sekta ya elimu kutokana na maendeleo hayo, walimu wanapaswa kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia ili waweze kutoa elimu bora inayokidhi mahitaji ya wakati Na Lucas Hoha Baadhi ya walimu ambao wameshiriki mafunzo ya namna ya kutumia mifumo ya kidijitali katika kufundisha…