Mabaharia ni watu wanaofanya kazi katika vyombo vya usafiri wa majini kama vile meli, boti, na majahazi na wmabaharia wamekuwa wakichangia katika usafirishaji wa watu na bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kupitia bahari, maziwa, na mito na kuchochea maendeleo yanuchumi wao na Taifa kwa ujumla Na Tryphone Odace Serikali kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa…