Wafanyabiashara wadogo ni nguzo muhimu katika maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote na kundi hili linachangia kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji wa bidhaa, utoaji wa huduma na ajira kwa wananchi wengi Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kigoma inatarajia kuja na mpango mkakati maalumu unaolenga kuinua wafanyabiashara wadogo ili kukuza biashara zao na hatimaye kuingia…