July 21, 2026

Licha ya ushindani uliopo katika ukanda wa Afrika Mashariki, kipaumbele cha TPA ni kuongeza uwezo wa kuhudumia meli na mizigo kwa haraka na kwa ufanisi ili kuendelea kuvutia wateja Na Mwandisshi wetu Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaendelea na mpango wa kupanua gati na kuboresha miundombinu ya bandari nchini ili kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *