Vijana kuunda vikundi ili kutambulika kunasaidia serikali kuweza kupata takwimu na orodha ya vikundi vyao na namna ya kuwawezesha kupitia programu mbalimbali Na Hagai Ruyagila Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu, Theresia Mtelewe, amewataka vijana kutoka wilaya za Kasulu na kibondo mkoani Kigoma kujiunga na vikundi vinavyotambulika na serikali ili waweze kunufaika na mikopo inayotolewa na…