Uzinduzi wa meli za mizigo ndani ya ziwa Tanganyika ni hatua muhimu ya kuufungua mkoa wa Kigoma sasa kuwa lango la kibiashara kwa nchi zinazozunguka ziwa Tanganyika Na Josephine Kiravu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua meli nne mpya za mizigo zenye uwezo wa kubeba tani 2000 kwa safari moja Akitoa taarifa hiyo Waziri wa Uchukuzi Makame…